Timu ya Ihefu SC imeendelea kupambania ‘roho yake’ kwenye ligi kuu baada ya leo kupata ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Mwadui FC, katika mchezo uliopigwa kwenye Dimba la Highland Estate, Mbarali mkoani Mbeya.
Magoli ya Ihefu yamefungwa na Andrew Simchimba na Omary Hassan aliyefunga mawili huku Mwadui wakipata magoli yao kupitia kwa mkongwe Uhuru Seleman na Denis Richard.
Haya hapa magoli yote.
Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Watch video Magoli yote | Ihefu SC 3-2 Mwadui FC | VPL 20/02/2021 online, duration hours minute second in high quality that is uploaded to the channel Azam TV 20 February 2021. Share the link to the video on social media so that your subscribers and friends will also watch this video. This video clip has been viewed 13,120 times and liked it 83 visitors.