Kufuzu AFCON 2025 | Mchambuzi wa soka Mwamnyanyi aitahadharisha Taifa Stars dhidi ya Ethiopia

Published: 04 September 2024
on channel: Azam TV
624
8

“Sio taifa kubwa kwa mafanikio ya kimpira” maneno ya mchambuzi wa soka Geofrey Mwamnyanyi akiuchambua mchezo wa leo wa #KufuzuAFCON2025 kati ya Taifa Stars dhidi ya Ethiopia.

Pamoja na Ethiopia kutokuwa na historia ndefu katika soka, Mwamnyanyi anaikumbusha Stars kuingia kwa tahadhari.

#AFCON2025 #KufuzuAFCON2025 #AFCONQ #AFCONQualifiers #TaifaStars #Tanzania #Ethiopia


Watch video Kufuzu AFCON 2025 | Mchambuzi wa soka Mwamnyanyi aitahadharisha Taifa Stars dhidi ya Ethiopia online, duration hours minute second in high quality that is uploaded to the channel Azam TV 04 September 2024. Share the link to the video on social media so that your subscribers and friends will also watch this video. This video clip has been viewed 624 times and liked it 8 visitors.