Ni uchambuzi wa kina kuhus mechi za raundi ya kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika CF CL zikiwahusu Yanga Sc na Azam FC.....
Katika raundi hii, yanga imefuzu kwa jumla ya mabao 10-0 dhidi ya Vital'O ya Burundi huku Azam FC ikitupwa nje kwa jumla ya magoli 2-1 na APR ya Rwanda....
Kipindi hiki pia kimechambua baadhi ya mechi za raundi ya kwanza na ya pili Ligi Kuu ya NBC ikiwemo namungo vs Tabora United, Kagera Sugar vs Singida Black Stars na Simba vs Fountain Gate iliyomalizika kwa Simba kushinda 4-0 kwenye uwanja wa KMC.
Wachambuzi ni Leonard Musikula, Michael Kashinde na Charles Abel chini ya host Kennedy Moses.
#Dakika90 ni kila Jumatatu saa 4:30 usiku #AzamSports1HD
Watch video DAKIKA 90 (26/08/2024) | Walichokivuna Yanga na Azam raundi ya kwanza CAF CL na moto wa Simba NBC PL online, duration hours minute second in high quality that is uploaded to the channel Azam TV 03 September 2024. Share the link to the video on social media so that your subscribers and friends will also watch this video. This video clip has been viewed 818 times and liked it 7 visitors.