AZAM FC TV 03/09/2024 | Mwanzo wa msimu mpya wa NBC PL na ujenzi wa dimba la mazoezi Azam Complex

Published: 04 September 2024
on channel: Azam TV
1,637
34

Azam FC imeuanza kinyonge msimu mpya wa Ligi Kuu ya NBC #NBCPremierLeague kwa kulazimishwa suluhu na JKT Tanzania kwenye Dimba la Meja Jenerali Isamuhyo......

Tathmin ya mchezo huo, matarajio ya benchi la ufundi kwa msimu huu kutoka kwa kocha Youssouph Dabo pamoja na ujenzi wa uwanja mpya wa mazoezi Azam Complex..... ni miongoni mwa mambo yaliyomo humu ndani ya kipindi hiki...


Watch video AZAM FC TV 03/09/2024 | Mwanzo wa msimu mpya wa NBC PL na ujenzi wa dimba la mazoezi Azam Complex online, duration hours minute second in high quality that is uploaded to the channel Azam TV 04 September 2024. Share the link to the video on social media so that your subscribers and friends will also watch this video. This video clip has been viewed 1,637 times and liked it 34 visitors.