MKUTANO MKUU YANGA | Serikali yaridhia Yanga kujenga uwanja, yaipa masharti

Published: 09 June 2024
on channel: Azam TV
17,816
152

MKUTANO MKUU YANGA: “Tumepokea maombi na tumeridhia kuyaingiza katika mpango wa uendelezaji wa eneo hili la Jangwani” maneno ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa akijibu ombi la Yanga SC kuhusu eneo la ujenzi wa uwanja wao.

Ni Mkutano Mkuu wa Yanga unaofanyika leo kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.

#YangaAGM2024 #YangaSC2024 #YangaSC #AGM2024 #MkutanoMkuuYanga #MkutanoMkuuYanga2024


Watch video MKUTANO MKUU YANGA | Serikali yaridhia Yanga kujenga uwanja, yaipa masharti online, duration hours minute second in high quality that is uploaded to the channel Azam TV 09 June 2024. Share the link to the video on social media so that your subscribers and friends will also watch this video. This video clip has been viewed 17,816 times and liked it 152 visitors.