Mkongwe wa soka Chuji awakumbusha wachezaji wa Taifa Stars kuweka bidii kufuzu AFCON 2025

Published: 02 September 2024
on channel: Azam TV
756
5

#KufuzuAFCON2025: Mkongwe Athuman Idd Chuji yeye hana mashaka kabisa na kundi ‘H’ kwenye mechi za #KufuzuAFCON2025.

Nyota huyo wa zamani anawakumbusha wachezaji wa Taifa Stars kuweka bidii kwa sababu tayari washauonja utamu wa michuano hiyo mikubwa Afrika kwa ngazi ya taifa.

Jumatano ya Septemba 4, Stars itavaana na Ethiopia katika dimba la Benjamin Mkapa na mechi hiyo itakuwa LIVE #AzamSports1HD saa 1:00 usiku

#AFCON2025 #KufuzuAFCON2025 #AFCONQ #AFCONQualifiers #TaifaStars #Tanzania #Ethiopia


Watch video Mkongwe wa soka Chuji awakumbusha wachezaji wa Taifa Stars kuweka bidii kufuzu AFCON 2025 online, duration hours minute second in high quality that is uploaded to the channel Azam TV 02 September 2024. Share the link to the video on social media so that your subscribers and friends will also watch this video. This video clip has been viewed 756 times and liked it 5 visitors.