Ni mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara (VPL) unaopigwa kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam ukishuhudia Yanga wakicheza pungufu dhidi ya Kagera Sugar baada ya kiungo wake Mohamed Issa, ‘Mo Banka’ kupata kadi ya pili ya njano na kutolewa nje kwa kadi nyekundu. Tazama ilivyokuwa.
Watch video Mohamed Isa 'Mo Banka' alipigwa red card kwa kosa hili wakati Yanga ikifungwa 0-3 na Kagera Sugar online, duration hours minute second in high quality that is uploaded to the channel Azam TV 15 January 2020. Share the link to the video on social media so that your subscribers and friends will also watch this video. This video clip has been viewed 26,858 times and liked it 92 visitors.