Wanaharakati watatu waitaka mahakama kuharamisha mawaziri wa Rais kwa kukiuka vipengee vya katiba

Published: 30 August 2024
on channel: NTV Kenya
3,215
9

Wanaharakati watatu wanaitaka mahakama kuharamisha baraza la mawaziri la Rais William ruto kwa kukiuka vipengee kadhaa vya katiba. Eliud Karanja, daktari Magare Gikenyi na seneta wa busia Okiya Omtatah wanataka mahakama kuwazuia mawaziri husika kufanya kazi zozote afisini hadi kesi iamuliwe.

Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya


Watch video Wanaharakati watatu waitaka mahakama kuharamisha mawaziri wa Rais kwa kukiuka vipengee vya katiba online, duration hours minute second in high quality that is uploaded to the channel NTV Kenya 30 August 2024. Share the link to the video on social media so that your subscribers and friends will also watch this video. This video clip has been viewed 3,215 times and liked it 9 visitors.