KNCHR ilioonyesha watu 66 walitekwa nyara wakati wa maandamano lakini Rais asema kinaya

Published: 30 August 2024
on channel: NTV Kenya
2,739
8

Leo, ulimwengu unaadhimisha siku ya kimataifa ya waathiriwa wa kutoweka na kutekwa nyara . Tume ya kitaifa ya haki za kibinadamu ya kenya (KNCHR) ilioonesha kuwa kuna watu 66 waliotekwa nyara au kutoweka wakati wa maandamano ya kupinga mswada wa fedah mwaka 2024, yaliyotokea kati ya mwezi juni na julai. lakini kinanya kikubwa ni kuwa rais william ruto ameshikilia kuwa bado hajapata majina ya watu ambao wametekwa nyara au kutoweka tangu kuanza kwa maandamano hayo dhidi ya serikali.

Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya


Watch video KNCHR ilioonyesha watu 66 walitekwa nyara wakati wa maandamano lakini Rais asema kinaya online, duration hours minute second in high quality that is uploaded to the channel NTV Kenya 30 August 2024. Share the link to the video on social media so that your subscribers and friends will also watch this video. This video clip has been viewed 2,739 times and liked it 8 visitors.