Ichung'wah amesema kuwa hakuna hoja yoyote ya kutaka kumwondoa Gachagua ofisini ambayo imefikisha mbele ya bunge la kitaifa kwa sasa, huku akisema kuwa madai ya Gachagua Ijumaa hii kuwa kuna mpango wa kumtimua ofisini ni njama ya kusaka huruma na uungwaji mkono haswa kutoka kwa wakazi wa eneo la Mlima Kenya pamoja na Wakenya.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
Watch video Ichung'wah: Hakuna hoja yoyote ya kumtoa Gachagua ofisini katika bunge la kitaifa online, duration hours minute second in high quality that is uploaded to the channel NTV Kenya 21 September 2024. Share the link to the video on social media so that your subscribers and friends will also watch this video. This video clip has been viewed 1,803 times and liked it 3 visitors.