Michezo ni muhimu kwa ajili ya afya na akili ya vijana. Burudika na furahia michezo na katuni ya Ubongo Kids.
Jamani! Mwaka huu, Ubongo Kids ni ZAIDI ya hisabati na sayansi! Msimu huu si KAMA ULIVYOZOEA!
This video was made possible by a grant from the Goodall Foundation. http://www.goodall-foundation.org.uk/
Ubongo Kids MPYA inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani!
Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo!
Msimu wa 3 wa Ubongo Kids utakuandaa kifikra, ukichochea uwezo wako wa kung’amua matatizo na kuyatafutia ufumbuzi.
Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi!
Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule!
Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia: http://www.ubongokids.com
Watch video Video za Michezo | Burudika na Ubongo Kids | Hadithi za Watoto kwa Kiswahili online, duration hours minute second in high quality that is uploaded to the channel Ubongo Kids Kiswahili 07 September 2017. Share the link to the video on social media so that your subscribers and friends will also watch this video. This video clip has been viewed 2,467,907 times and liked it 4.2 thousand visitors.